Nelson Mandela (kulia) akiwa na Rais mstaafu wa Marekani, Bill Clinton
alipotembelea kilichokuwa
chumba chake katika jela ya Kisiwa cha Robben,
- Hata hivyo Mandela alitumikia kifungo hicho kwa miaka 27 na kutoka akiwa mtu aliyebadilika
- kitabia, akiwa mtulivu, akiwa na hekima, mwenye busara na mwenye kuheshimika katika jamii.
Juni 12, 1964, Nelson Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada
ya kupatikana na hatia
ya kufanya hujuma dhidi ya Serikali ya kibaguzi ya Makaburu.
Hata hivyo Mandela alitumikia kifungo hicho kwa miaka 27 na kutoka akiwa mtu aliyebadilika kitabia,
akiwa mtulivu, akiwa na hekima, mwenye busara na mwenye kuheshimika katika jamii.

Mandela alianza kutumikia kifungo katika jela
iliyopo kwenye kisiwa cha Robben kilichopo kwenye
bahari ya Atlantic umbali wa kilometa 12 kutoka mji wa Cape Town, alimotumikia kifungo kwa
miaka 18, na mwaka 1982 aliondolewa ndani ya kisiwa hicho na kuhamishiwa kwenye gereza pia
lenye ulinzi mkali la Pollsmoor lililopo Cape Town na siku chache kabla ya kuachiwa huru
alihamishiwa gereza lililopo mjini Cape Town la Victor Verster.

Kisiwa cha Robben kwa takriban miaka 400 iliyopita
kimekuwa kikitumika kama eneo la
kuadhibu watu,
kuweka watu katika maisha ya kuwatenga na kuwafunga jela. Ni kisiwa kwa ajili ya watu
wasumbufu wa kisiasa, wasumbufu katika jamii na watu wasiotakiwa katika jamii.

Kama ilivyo kwa viongozi na wanaharakati wengine
wa ukombozi wa kiafrika waliopata
changamoto za Serikali za kikoloni kwa kukamatwa, ambao baadaye walikuja kushika uongozi
wa nchi zao, kama vile Kwame Nkrumah wa Ghana, Jomo Kenyatta wa Kenya na
Robert Mugabe wa Zimbabwe, Mandela naye alipotoka jela alikuwa Rais wa kwanza mweusi
nchini Afrika Kusini.

Gereza la Kisiwa cha Robben, lililofahamika kwa
jina la gereza ndani ya gereza, lilikuwa ni
gereza lenye zahama na ukiwa. Kufungwa ndani ya gereza hilo maana yake ni muda mwingi
kufanya kazi za suluba, lakini kulikuwa na fursa kwa mfungwa kupata muda wa kujisomea,
kufanya mijadala na kujipima. Miongoni mwa masharti ya kushikilia maadili ndani ya gereza
hilo ni kwa wafungwa kujikita kwenye kusoma na kufanya mijadala. Tabia ya Mandela na
wenye weledi ni matokeo ya maisha ya jela au ‘Chuo Kikuu cha Kisiwa cha Robben.’

“Hakuna zaidi ya kuelekeza akili zako kwa kuwa
mtulivu zaidi kwa kukubali ukweli wa jamii yako
,” alisema Mandela. Mwanzoni mwa mwaka 1972, alipewa ofa ya kutoka jela kwa sharti la
kutangaza kukomesha vurugu dhidi ya Serikali ya Makaburu, ofa mabayo aliikataa akisema
kuwa Serikali ndiyo imekifanya chama cha ANC kutumia njia ya uanaharakati.

Maisha ya jela ndiyo yaliyombadili Mandela na kuwa
kiongozi mwenye ushawishi, ambapo
akiwa gerezani alijifunza kuhusu hisia za binadamu na namna ya kuondoa hofu na mambo
yasiyo ya usalama kwa wengine. Akiwa gerezani Mandela aliwavutia askari magereza kwa
namna alivyokuwa mtetezi wa haki, mweye heshima na mwenye uelewa wa masuala ya kisheria,
ambapo ndani ya gereza la Kisiwa cha Robben alikuwa kiongozi wa wafungwa wenzake.

Kwa mujibu wa taarifa askari magereza walikuwa chini ya uongozi wa wafungwa na wafungwa
walikuwa chini ya uongozi wa Mandela.
walikuwa chini ya uongozi wa Mandela.
Mwandishi wa habari Eddie Koch aliandika kwenye
magazeti ya Mail na Guardian kuwa selo
namba saba alimokuwa akiishi Mandela, lilikuwa eneo lenye harakati nyingi za ulinzi mkali
ndani ya gereza hilo kwa kila Jumamosi ya wiki.

Wakati Mandela akiwa ndani ya gereza hilo kulikuwa
na mikwaruzano ya wafungwa,
kutoka kitengo cha kijeshi cha ANC, chama cha Pan Africanist Congress na wanaharakati
wa Steve Biko’s Black. Vurugu ndani ya gereza hilo zilifanyika kwa misingi ya kupingana
watu binafsi na tofauti ya itikadi, ambapo vurugu hizo zilikuwa kipimo cha mbinu za uongozi
wa kidiplomasia wa Mandela na wenzake.

Taarifa zilisema wafungwa wengi wapya walipelekwa
kwenye gereza hilo la Kisiwa cha Robben,
kama vile viongozi wa wanafunzi wa Soweto, wawakilishi wa baraza waliochochea vijana hadi
wakaazisha vurugu nchini humo mwaka 1976, hawakuwa na ufahamu kuhusu hali ya kisiasa ndani
ya gereza hilo.