IN MY SHOES YA WEMA SEPETU.

By | 03:42
Mwigizaji staa wa Tanzania ambae ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu hukutana na watu wake wa nguvu kila wiki kupitia show yake ya TV (Eatv) inayohusu maisha yake pamoja ishu nyingine zinazomuhusu time hii amekuletea in my shoes ya msimu wa pili iliyopo katika nafasi ya saba ambayo ikimuonesha namna alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na kuzawadiwa magari mawili likiwemo la Ex Boyfriend wake Diamond Platnumz.
Newer Post Older Post Home