Kuna wakati ukitajiwa tu jina la mchekeshaji, unajikuta unacheka hata kama
hujaambiwa ni kioja kipi amekifanya.
safari hii aliongozana
na mkewe kwenye show aliyokuwa akiifanya
wakati wa utoaji tuzo za
Headies, Nigeria.
Jamaa akaanza kuyatoa sasa kama kawaida yake; “…
ndoa sio kitu rahisi ila najitahidi sana kutimiza wajibu wangu..
Kutokana na jinsi kazi yangu ilivyo mara nyingi nakuwa sipo nyumbani,
kuna wakati wiki kadhaa zinapita siko nyumbani, nikirudi tuu najitahidi
kuwa karibu na familia hasa mke wangu… Natoka nae kwenye events,
shopping, angalau ajione special… Nikiwa nyumbani nakuwa houseboy,
nafanya kazi zote, kuwaogesha watoto, kufanya usafi, napika, nafua…
nafanya kazi zote za ndani…“– Basketmouth.