NAMNA WAKAZI WA MOROGORO WALIVYOPOKEA TAMASHA LA TUONANE JANUARY.

By | 11:09
                70208

Tuonane January Concert ni tamasha ambalo wasanii wameamua kushirikiana pamoja kwa ajili ya kusema na vijana kuhusu kuchagua viongozi ambao watakuwa wa kisasa na si wa kisiasa.
Morogoro ni mkoa wa pili baada ya Njombe kufanyika wiki iliyopita,ambapo mchakato ulivyo ni wewe mkazi wa mkoa wewe kufollow page za Tuo8 January kwenye Instagram na Twitter kisha mkoa watakaokuwa wameshare sana watapata nafasi hiyo.
Kwenye Exclusive interview na millardayo.com Fid Q amesema mkoa ambao kwa sasa unaongoza kushare ni mkoa wa Mtwara hivyo inawezekana kabisa mkoa unaofuata au watatu ukawa ni Mtwara.
Tuonane January Concert imefanyika kwenye uwanja wa Saba Saba mjini Morogoro na kuhudhuriwa na maelfu wa wakazi wa mji huu.
       8208
            9208
            13208
Host kutoka Planet Fm Morogoro anaitwa Chigga Son
       12208
        17208
         11208
             24208
                39208
Wananchi wa Morogoro.

                 46208
Godzilla Jukwaani.
                     44208
                  51208
Kutoka Kushoto Producer Lamar,Dj K-Man wa Tip top na Babu Talle.
                     54208
                     56208
                      63208
                       65208
                  67208
Meneja wa Tip Top,Yamoto Band na Diamond Platnumz anaitwa Babu Talle,
                   77208
Kutoka kundi la Weusi,Nikki wa Pili nae ndani.
                    79208
Kutoka kundi la Weusi G-nako nae alikuwepo.
                     82208
                        23208
Host K-O kutoka Aboud Media.
BY Millard Ayo.
Newer Post Older Post Home