RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE AHITIMISHA HOTUBA YAKE KWA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DAR ES SALAAM.

By | 07:43
HOTUBA YA JK YAISHA:Mh Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi kupitia wazee wa Dar es salaam ,wamemuomba Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka kumpisha amteuwe mtu mwingine kwa nafasi yake,vyombo husika vitafanya uchunguzi kwa wengine waliopo kwa azimio la 8 la
Bunge,ila tayari Mwanasheria mkuu wa serikali Fredrick Werema alishajiiuzulu,na Bodi ya wakurugenzi wa Tanesco muda wao ulikishwa na watateuliwa wapya kwa nafasi zao,ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Rais amehitimisha hotuba yake aliyoiita ndefu.
Newer Post Older Post Home