Dereva wa taxi alikodishwa na mwanamke ambaye alikuwa ana ujauzito wa miezi kadhaa huko Nigeria, wakiwa njiani ukaibuka utata kati yao, dereva wa taxi akamwambia ashuke wakati hakuwa amemfikisha mahali walipokubaliana.
Polisi wanafanya uchunguzi wa tukio hilo lakini hadi sasa hakuna mtu yoyote aliyekamatwa.