Miaka saba iliyopita mwanasoka mkongwe maarufu duniani David Beckham na mkewe Victoria walirudia viapo vya ndoa yao jijini Marrakech, Morocco.
Wapenzi hawa hawajahi kukutwa na skendo
jambo ambalo si kawaida kwa mastaa duniani na pia ndoa yao imekuwa mfano
wa kuigwa kwani pia imeweza kudumu kwa muda mrefu mpaka sasa wakiwa na
watoto wanne.
Beckham amepanga sherehe yake kuifanyia Kaskazini mwa mji wa Marrackech eneo linaloitwa Amanjena Resort ambapo miongoni mwa watakaohudhuria ni mchezaji mwenzake wa zamani Gary Neville.