Vichwa vya habari Kenya vimebebwa na
stori hii kubwa kwenye ishu ya siasa.. kilichofanya ishu kuwa na uzito
zaidi labda ni kitendo cha Rais Kenyatta kumteua ndugu wa Kiongozi wa
Chama cha Upinzani kuongoza moja ya Mashirika makubwa ya Umma Kenya.
Hao ni baadhi ya watu ambao majina yao yapo kwenye list ya watu 302 walioteuliwa na Rais Kenyatta.