HIVI NDIVYO VISIWA KUMI VYENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI...AFRIKA KIKO KIMOJA JE NI NCHI GANI?TAZAMA HAPA.

By | 11:51

madeira
Nimeona nikusogezee pichaz za hivi visiwa 10 ambavyo viko kwenye list ya vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja, unadhani kitakuwa ni  cha nchi gani?
pro
1. Providenciales – Uturuki
maui
2. Maui – Marekani
roatan
3. Roatan – Honduras
santo
4. Santorini – Ugiriki
koh
5. KO TAO – THAILAND
madeira
6. Madeira – Ureno
madeira
bali
7. Bali – Indonesia
mau
8. Mauritius
bora
9. Bora Bora- French Polynesia
nooo
10. Fernando De Noronha- Brazil
Newer Post Older Post Home