Jopo maalum la makocha ambao hutafuta
wachezaji bora kwa kila mchezo kwenye ligi kuu ya soka Tanzania bara
wametoa matokeo ya wachezaji waliochaguliwa kuwa bora zaidi ya wenzao
kwenye ligi hiyo kwa mwezi April.
Mbali na Ngassa pia James Ambrose nae amefanikiwa kushinda nafasi hiyo.
James Ambrose na Mrisho Ngasa
watazawadiwa fedha taslimu sh. milioni moja kwa kila mmoja kutoka kwa
wadhamini wa ligi hiyo kampuni ya simu za mkononi ya Vodaom.
Source:Millard Ayo.