Taarifa hiyo iliotolewa na FIFA imesema kuwa uamuzi huo ulichukuliwa baada ya wawili hao kukiuka kanuni na maadili ya FIFA.
Shirikisho hilo hata hivyo halikutoa maelezo zaidi kuhusu hatua yao.
Copyright (c) 2014-2015 News Satelite.. Design by TubongeTZ.Com