Michuano ya kombe la dunia la
wanawake,linaendelea huko canada katika miji tofauti tofauti.michuano
hiyo ya kombe la dunia kwa wanawake liliendelea tena hapo jana kwa
michezo miwili kupigwa
kati ya Norway .. waliopepetana na ... thailandujerumani.. ilioonesha kazi pwani ya samawati ,naizungumzia ivory coast
na matokeo yalikuwa hivi,Norway waliibuka na mtaji wa magoli manne huku Thailand wakikubali matokeo,na kutulia na yai.
kwa upande mwingingine kwenye mechi ya pili ujerumani walijizolea magoli yao mawili na kuwaacha Ivory coast mikono mitupu.