Kuna mti unaodaiwa kusababisha mlipuko wa Ebola nchini Guinea.Kundi
moja la wavulana lilimpeleka mwandishi wa BBC katika mti huu.WalielWaliwajaza popo hao katika mifuko na kuwala.Wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa amewahi kufariki na mlipuko wa Ebola.Walieleza kwamba siku moja waliwasha moto katika mti huo na popo wakaanguka kutoka kwa mti huo.
Waliwajaza popo hao katika mifuko na kuwala.Wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa amewahi kufariki na mlipuko wa Ebola.