KITISHO CHA USALAMA:POLISI AUAWA ,KENYA.

By | 02:09


Polisi nchini Kenya katika doria
Askari mmoja ameuawa na mwingine akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa Kenya.
Askari hao wa Kenya wanadaiwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa kundi la Al Shabaab.
BBC SWAHILI.
Newer Post Older Post Home