SHUJAA RONALDO ANAVYOKUBALIKA KWAO,WAMEWEKA KUMBUKUMBU HII YA KUDUMU KWAAJILI YAKE.

By | 01:46
Nabii huyu hakubaliki kwao tu, Dunia nzima inamkubali na inampa heshima kubwa kwenye soka.
Madeira ni kisiwa kizuri na kikubwa ukiwa Ureno, lakini stori ikufikie kwamba kisiwa hicho kina umaarufu wa vitu viwili tu vikubwa; kwanza ni mvinyo, cha pili ni Cristiano Ronaldo.
Wamefanya kitu kikubwa kumuenzi staa huyo wa soka, jumapili ya December 21 kumezinduliwa sanamu kubwa la mchezaji huyo katika kisiwa hicho.
Newer Post Older Post Home