Kuna mambo yakitokea unajikuta unajipima na kuitazama imani yako iko kwa kiasi gani?
Tumezoea matukio mengi ya kihalifu hujitokeza wakati wa sikukuu, ujambazi, wizi na uhalifu mwingine.
Hawa jamaa waliingia kanisani St. Petersburg, Russia
wakaiba pesa ambazo kiwango chake hakijafahamika wakaingia kwenye gari
na kuanza kukimbia, Polisi wakaanza kuwafukuza lakini safari yao
haikuishia mbali.
Gari nyingine iliyokuwa pembeni yake iliathirika kiasi kidogo kutokana na shoti hiyo lakini hakuna mtu aliyedhurika.