Zaidi ya shule 700 Korea Kusini
zimefungwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa uliozuka kwa ugonjwa unaoshambulia
mfumo wa upumuaji uliozuka kutoka Mashariki ya kati wa MERS
Watu
watatu hadi sasa wanadaiwa kufa kutokana na ugonjwa huo ambapo pia watu
wengine 35 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.
MERS ni mara ya kwanza kugunduliwa nje ya Saudi Arabia, kwani miaka
mitatu iliyopita mgonjwa wa kwanza aligunduliwa huko Mashariki ya Kati.
Rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye amehimiza jitihada zaidi kukabiliana
na ueneaji wa virusi vya ugonjwa huo. Raia wa Korea kwa sasa wamekumbwa
na wasiwasi kutokana na ugonjwa huo wa SARS ulioua mamia ya watu huko
Kaskazini Mashariki mwa Asia zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Popular Posts
-
Mwanaume mmoja nchini Nigeria amefunguliwa mashtaka baada ya kumfungia mke wake nje mpaka asubuhi na kuamua kumbaka mtot...
-
Oral candidiasis can manifest in different ways. Usually, the most common symptom of oral candidiasis is the appearance of charact...
-
Image copyright Getty Images Image caption Mourinho anakabiliwa na shinikizo baada ya Chelsea kushindwa kutamba msimu huu Chelsea im...
-
Wanyama kama mbwa na paka wamekuwa wakithaminiwa sana na watu wa Ulaya, Marekani na kuna wakati unakuta mtu anambeba paka au ...
-
Image caption Dr. John Magufuli akihutubia mikutano ya kampeni ya urais Mgombea urais nchini Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi John P...
-
Kuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utaji...
-
Nahodha wa timu ya Liverpool ya Uingereza Steven Gerrard ataondoka katika klabu hiyo wakati mkataba wake utakapomal...
-
Jarida namba moja kwa masuala ya fedha – Forbes kutoka nchini Marekani limetoa listi ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi z...
-
Sokwe ni binamu wa karibu sana na binadamu. Sokwe wamekuwa na uwezo mkubwa wa usawa miongoni mwao wanasemekana kufahamu hata njia za maw...
-
Steve McClaren ameajiriwa kuifunza klabu ya Newcastle United. Mkufunzi huyo mwenye umri wa miaka 54 anachukua mahala pake John Carver am...