MAAJABU KAMA KAWA YANAZIDI KUIBUKA DUNIANI:MAJENEZA KUTENGENEZWA KWA MUUNDO WA CHUPA ZA VINYWAJI MBALIMBALI

By | 01:23

Ulishawahi kufikiria kwamba kuna mtu atakuja kufanya design ya majeneza tofauti na tuliyozoea kuyaona?
Moja ya kipekee ilikuwa kutoka Kenya, ambapo lilitengenezwa jeneza kwa muundo wa kiti cha kukalia, ya leo iko tofauti.
Hii inatoka Ghana, jamaa wameunda majeneza haya kwa muundo wa chupa ya pombe na vinywaji mbalimbali, gharama yake unaambiwa ni kama dola 1,000 kila moja.
Wataalamu walioyaunda wamesema kwa wapenzi wa kinywaji husika anaweza kujichagulia aina ya jeneza ambayo angependezwa kuzikwa ndani yake.

                  clbu
                 Coffins-from-Ghana-7
                  img_1379
                   N-Cercueil9-Teaser
                    TAB-fantasy-coffin
Newer Post Older Post Home