Mafuta yenye kukamata uchumi wa Nigeria
Waziri
wa uchumi wa Nigeria, Ngozi Okonjo Iweala amewasilisha upya bajeti
bungeni ili kuchukua hatua kwa kushuka bei ya mafuta kimataifa.
Nigeria ni moja ya nchi kubwa Afrika inakabiliwa na usawa wa mapato na matumizi na robo tatu ya mapato inatokana na mauzo ya mafuta.wafanyakazi wanapinga hali mbaya ya umasikini wa nchi na usafirishaji na miundombinu ya usafiri.
Wachambuzi wa uchumi wanashauri vyama vya wafanyakazi kutoigeuka serikali inayopambana kuepuka uhaba mkubwa wa mafuta kabla ya uchaguzi mwezi februari mwakani