MAAJABU NA VITUKO VYA DUNIA:MUME AMFUKUZA MKEWE NA KUMBAKA MWANAE.

By | 03:35

            mom
Mwanaume mmoja nchini Nigeria amefunguliwa mashtaka baada ya kumfungia mke wake nje mpaka asubuhi na kuamua kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 9.
Polisi walisema wamemfungulia mashtaka mwanaume huyo kwa jina la Osaro mwenye umri wa miaka 55 baada ya kuthibitika kutenda kosa hilo.

Mama wa mtoto huyo Stella,aliwaambia wachunguzi wa tukio hilo kuwa mumewe alimfungia nje ya nyumba yao majira ya saa 2 usiku na mwenyewe kujifungia ndani na mabinti zake wawili.
Siku iliyofuata mtoto huyo alimweleza mama yake kuwa alifanyiwa kitendo hicho na baba yake zaidi ya mara moja na mama yake kuamua kumkagua na kubaini ni kweli alibakwa.
shadow
Binti huyo aliwaeleza polisi kuwa baba yake alimbaka mara nyingi na polisi walimchuku mtuhumiwa ambapo anatarajiwa kusomewa mashtaka yake kabla ya kufunguliwa kesi.
Mama huyo alisema hiyo si mara ya kwanza kwa mumewe kutenda kosa hilo kwani mara ya kwanza aliwahi kumpa ujauzito mtoto wake wa miaka 17 lakini mama huyo alimsamehe.
Newer Post Older Post Home