
Najua
utapata maswali mengi ya kujiuliza inakuwaje mpaka binadamu anabakwa na
papa? alikuwa anafanya nini mpaka papa akafanikiwa kumbaka wakati zile
za story za kufanya mapenzi na mbwa zimekuwa za kawaida kabisa.
Habari
iko hivi nchini Cuba kulikuwa na mchezo unahusisha watu kupigwa busu na
papa aliyeko kwenye maji,yaani unasogea karibu na maji halafu papa
anaruka nakuja kukubusu.
Sasa
imetokea sintofafahamu baada ya mwanamke mmoja kukaa karibu na maji kwa
lengo la kupata busu la papa lakini papa huyo kama kawaida alifanikiwa
kumbusu na kurudi kwenye maji lakini alirudi mara ya pili kwa mama huyo
na kumrukia kama mtu aliyetaka kubebwa.
Mwanamke
huyo alikosea kitu kimoja baada ya papa huyo kurukia alifungua miguu
yake na kumpa urahisi papa huyo kumwingilia kimwili na kufanikiwa
kumbaka.
Mmoja
kati ya madaktari wa wanyama wa majini amesema kwa papa wako kwenye
kundi la wanyama ambao huwa wana hamu kubwa ya kufanya mapenzi na kwamba
kwa kiutalam madaktari hao hawawezi kushangaa jamboo hilo.