Unaambiwa neno #Selfie lina heshima yake ndani ya 2013, Oxford English Dictionary walilipa hadhi kwamba lilikuwa ni neno la mwaka.
Watu wengi wamekuwa addicted na Selfie, sasa wataalamu wakaona isiwe tatizo, wametuletea kifaa kipya Selfie stickkitakachosaidia wale wa selfie kujipiga kwa kuenjoy zaidi.