WATOTO WAWILI WA TANZANIA WALIOKUWA WAMEUNGANA VIFUA WAFANIKIWA KUTENGANISHWA.

By | 05:26
                  http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/Watoto-1.jpg
Bila shaka kila aliekua anawafatilia au kusikia taarifa za hawa watoto atakua na hamu ya kujua kimeendelea nini baada ya kupelekwa kutibiwa nchini India ambapo mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amethibitisha kupitia ukurasa wake wa twitter kwa kuyaandika haya. ‘Hospitali ya Apollo lndia imefanikiwa kuwatenganisha watoto mapacha toka Tanzania waliokuwa wameungana vifua

Watoto wa Tanzania
Newer Post Older Post Home