
Klabu ya Manchester City kwa sasa ipo
katika mazungumzo na Uongozi wa Timu ya Swansea City kwa lengo la
kumsajili mchezaji Wilfred Bony.
Man city ina mpango wa kutenga zaidi ya £ 30m kwa muIvory Coast mwenye umri wa mika 26, kutoka Swansea ,na meneja Garry Monk amesema itamchukua atahakikisha inampata Wilfred Bony hapo Januari katika dirisha la usajil.
Bony alijiunga Swansea kwa rekodi klabu £ 12m kutoka Vitesse Arnhem mwaka 2013 na kwa sasa yupo katika maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrka ( AFCON) na Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast.