Matuko ya kupiga na kunyanyaswa wanawake bado yameendelea kuchukua nafasi katika nchi malimbali za Afrika.
Mwanaume huyo Peter Muthii
alimmwagia mkewe petrol akiwa amelala, akawasha moto na kumfungia ndani
ambapo muda mfupi baadaye majirani walikuja kumwokoa na kumkimbiza
hospitali.
Kisa cha tukio hilo kimetajwa kuwa ni
baada ya mwanaume huyo kurudi nyumbani usiku na kumtaka mkewe kumpashia
chakula lakini mkewe alimwambia apashe mwenyewe kitendo kilichomkwaza,
akaamua kumlipua kwa kutumia petrol iliyokua chini ya kitanda chao.