Hajakawiza…!! Hii kaamua kuifanya kimya kimya…
Wiki mbili baada ya Ludacris
kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wakiwa ndani ndege ambayo walikodi
kwenda zao Costa Rica kuenjoy, mpya kabisa ni kwamba sasa hivi yeye ni ‘Mr. Ludacris‘.
Ujumbe huo ulikuwa pamoja na picha hii.


