SIGARA YAMPONZA SZCZESNY

By | 02:20
                          
Kipa wa kikosi cha kwanza cha Arsenal, Wojciech Szczesny amepigwa faini ya pauni 20,000
Szczesny amepewa adhabu hiyo baada ya kukutwa na kosa la kuvuta sigara muda mchache baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Southampton.

Kitendo cha kipa huyo kilisabaisha hasira kwa kocha wake Arsene Wenger na kuamua kumpa adhabu hiyo.
Jack Wilshere pamoja na nahodha wa zamani wa klabu hiyo William Gallas waliwahi kukumbwa na tatizo kama hili la ufutaji wa sigara.
Newer Post Older Post Home