
Mshambuliaji Emmanuel Adebayor ameonyesha
sasa ameingia kwenye list ya wachezaji wa ligi kuu ya England
wanaomiliki magari ya kifahari na kudhihirisha kwamba kazi anayofanya
inamlipa.

Katika ukurasa wa Instagram aliweka ujumbe ukiwa na picha ya gari yake ihiyo uliosema ‘Hasubuhi hii nikielekea mazoezi tayari kwa kazi,nawatakia wiki njema’.
“This morning’s ride to training, travel in style and ready to work! Have a good week guys,” Adebayor wrote on Instagram.