BBC SWAHILI YAKANUSHA TAARIFA YA MGAHAWA MMOJA NCHINI NIGERIA KUUZA NYAMA ZA BINADAMU.

By | 10:27
                  
Idhaa ya kiswahili ya BBC imethibitisha kuwa taarifa tuliyochapisha kwamba kuna mgahawa mmoja nchini
Nigeria unaouza nyama ya binadamu sio za kweli.
Tunaomba radhi kwa taharuki au hisia zozote zilizosababishwa na taarifa hiyo.
Newer Post Older Post Home