
Linahesabika kama tukio jingine la Basi kuwaka moto katika rekodi za mabasi yaliyowaka moto yakiwa safarini nchini Tanzania wakati yakiwa na abiria.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Pwani SACP Jafari Ibrahimu baada ya kuongea na millardayo.com
ni kwamba basi hili la kampuni ya Dar Express liliwaka moto likiwa
safarini kutokea Dar es salaam kuelekea Arusha likiwa limejaa abiria.
