CHELSEA YAANZA HARAKATI ZA USAJILI.

By | 04:57


                          natha
Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea imeanza mikakati yake ya kuhakikisha msimu ujao inatetea taji hilo kwa mara nyingine baada ya kufanikiwa kunasa saini ya kinda wa Kibrazil Wonderkid Nathan.
Nathan ambaye alikua nyota katika kikosi cha vijana  chini ya miaka 19 amesaini mkataba wa kuichezea Chelsea jana jumatatu kwa dau la pauni milioni 4.5.

                          nathan
Mbali ya Chelsea pia klabu ya Manchester City ilikuwa ikimuwania saini ya mshambuliaji huyo.
Hata hivyo, bado uongozi wa Chelsea haujatoa taarifa rasmi kuhusiana na kumnasa mchezaji huyo.
Newer Post Older Post Home