MAN UNITED,BURNLEY NA STOKE ZA SHINDA.

By | 13:25

          

Van Gaal

Marouane Fellaini alifunga bao la ushindi katika kipindi cha pili cha mechi dhidi ya Crystal Palace na kuipatia Manchester United ushindi wa kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.
Ashley Young ndiye aliyesaidia pakubwa katika mabao yote mawili baada ya kumnawisha mpira beki wa Crystal Palace na kupata penalti iliofungwa na Juan Mata na baadaye kutoa pasi nzuri iliotiwa kimywani na
Fellaini kunako dakika ya 77.
katika matokeo mengine

Everton 0 - 2 Sunderland
Aston Villa 1 - 0 West Ham
Hull 0 - 1 Burnley
Leicester 2 - 0 Southampton
Newcastle 1 - 1 West Brom
Stoke 3 - 0 Tottenham

Newer Post Older Post Home