Malkia Elizabeth ameadhimisha miaka 89

Malkia wa Elizabeth wa Uingereza ameadhimisha miaka 89 tangu kuzaliwa kwake.Jamii yake ilihudhuria pamoja na kitukuu chake George