MESSI KATIKA REKODI NYINGINE YA IDADI YA MECHI ALIZOCHEZA KATIKA TIMU YAKE YA TAIFA.

By | 05:24
mee
Lionel Messi amefikisha mechi ya 100 akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Argentina wakati alipokichezea katika mechi ya michuano ya Copa America dhidi ya Jamaica.
mee2
Katika mchezo huo ambao Argentina iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica, shujaa wa usiku huo alikua ni Higuain ambaye ndiye aliyepachika bao hilo.
mes3
mesi4
Newer Post Older Post Home