Usafiri wa Boti ndio kiungo muhimu cha Dar na Zanzibar, watu wengi wanautegemea usafiri .. Good news kwa wasafiri wote DAR-ZANZIBAR !!
Boti nyingine tayari imeshushwa kwenye maji Zanzibar na time yoyote itaanza safari kati ya Dar na Zanzibar, ninazo pichaz zikionesha Boti hiyo ilivyoshushwa toka Australia.
Pichaz zote nimezitoa hapa >>> MICHUZI BLO
BY MILLARD AYO.
BY MILLARD AYO.


