PICHA(6)ZA JEZI MPYA ZA REAL ZIKO HAPA ZIANGALIE.

By | 05:46

madrid kit 3

Jezi hiyo ambayo imetengenezwa na kampuni ya ADIDAS ambao ndio wadhamini wa mabingwa hawa mara 10 wa michuano ya Ulaya, imenakishiwa kwa rangi nyeupe ambayo ni rangi ya utamaduni ya Real Madrid huku ule weupe ukiwa unang’aa zaidi kuliko ilivyozoeleka kawaida.
Gareth Bale akiongoza mstari wa wachezaji wakati wakiwa wanazindua jezi ya Real Madrid.
Cristiano Ronaldo akiongoza mstari wa wachezaji wakati wakiwa wanazindua jezi yaReal Madrid.
Wachezaji wa Real Madrid akiwemo nahodha Iker Cassillas wameonekana wakiwa wamevalia jezi hii kwa mara ya kwanza wakiionyesha katika uzinduzi wake na tayari imeshainia sokoni tayari kuuzwa kwa mashabiki wa klabu hiyo.
Uwepo wa Iker Cassilas kwenye matangazo ya jezi hizi umewachanganya wengi kutokana na taarifa zilizoenea kila mahali kuhusiana na nyota huyo kuwa yuko mbioni kuihama Real baada ya kuitumikia kwa muda mrefu kufuatia mipango ya klabu hiyo ya kumsajili kipa wa Manchester UnitedDavid De Gea.
Gareth Bale naye alikuwepo kwneye uzinduzi wa jezi mpya za Real Madrid.
Gareth Bale naye alikuwepo kwenye uzinduzi wa jezi hizo mpya za Real Madrid.
madrid new kit squad
madrid kit 2
Uwepo wa Iker Casillas kwenye uzinduzi wa jezi mpya umewachanganya wengi kutokana na kuwepo kwa taarifa za kipa huyo kuihama Real Madrid.
Uwepo wa Iker Casillas kwenye uzinduzi wa jezi mpya umewachanganya wengi kutokana na kuwepo kwa taarifa za kipa huyo kuihama Real Madrid.
Newer Post Older Post Home