
Mitandao ya Kijamii imekuwa njia rahisi zaidi kufanya taarifa kuwafikia watu wengi kwa haraka zaidi, kilichokua nafasi kubwa leo ni ishu ya msiba wa Kiongozi wa Dini ya Kiislamu Tanzania.
MICHUZI BLOG kuna stori inayothibitisha msiba wa aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba ambaye amefariki katika Hospitali ya TMJ Dar.
