WATAFITI:JE NI KWELI MLIMA MREFU KULIKO YOTE DUNIANI(EVEREST) ULISOGEA?

By | 12:24


Kambi iliyofunikwa na maporomoko ya theluji katika mlima Everest
Watafiti wa maswala ya ardhi kutoka China wanasema kuwa mlima Everest ulisongeshwa takriban sentimita tatu kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililotikisa Nepal mwezi Aprili.
Hata hivyo watafiti hao wanasema kuwa mlima huo ungali kimo hicho hicho.
Takriban watu elfu nane waliangamia tetemeko hilo lililofika kipimo cha 7.8 kwenye mizani ya Richter lilipokumba eneo la mlima Everest.
null
Baadhi ya majumba yaliyoporomoka kufuatia tetemeko hilo kubwa Aprili
Tetemeko hilo lilisababisha maporomoko ya ardhi na theluji kutoka mlima huo mrefu zaidi duniani.
Ajabu ni kuwa sasa wanasayansi nchini Nepal na wanasema kuwa mji mkuu wa Kathmandu umesonga kwa zaidi ya mita mbili kuelekea Kusini.

Newer Post Older Post Home