MWEZI USIO WA KAWAIDA WAIBUA MSISIMKO.

By | 12:49


Mwezi mkubwa
Image copyrightEPA
Image captionPicha hii inaonyesha mwezi mkubwa wa kawaida na mwezi mkubwa ukilingana na kupatwa kwa mwezi kama ilivyoshuhudiwa Wiesbaden, Ujerumani leo
Watu wengi pande mbalimbali duniani wamekuwa wakitazama tukio la kawaida la kupatwa kwa mwezi ambalo limetokea wakati mmoja na kuonekana kwa mwezi mkubwa kwa Kiingereza "supermoon".
Mwezi huo mkubwa huonekana mwezi unapokuwa karibu zaidi na njia ya mzunguko ya dunia, jambo ambalo huufanya kuonekana mkubwa angani.
Mwezi mkubwaImage copyrightReuters
Image captionMwezi mkubwa ulivyoshuhudiwa angani London
Kupatwa kamili kwa mwezi – ambako huufanya kuwa na rangi nyekundu – kulionekana Amerika Kaskazini, Afrika Magharibi na Ulaya Magharibi.
Supermoon
Image captionMwezi mkubwa usio wa kawaida unavyotokea
Tukio hili lilitokea mara ya mwisho 1982 na mara nyingine litaonekana 2033.
Newer Post Older Post Home