SHAMBULIO LA BOMU LAUA WATANO.SOMALIA.

By | 23:41
Shambulio la bomu laua watano, Somalia
Mashambulio yanayofanywa Somalia
Mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa ndani ya gari umetokea karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mogadishu nchini Somalia.
Msemaji wa serikali ya nchi hiyo, amesema watu wanne na mtu aliyejitoa mhanga katika shambulio hilo, wamekufa.
Newer Post Older Post Home