
Kama una time asubuhi au jioni 
inashauriwa kwamba mazoezi ni muhimu kwa afya, 
nakupa hii sasa ya huyu 
mzee ambaye umri wake ni miaka 90 na hapa yuko zake 
anapiga mazoezi yani
 kama kawaida.

 
 
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=EWjW3zv2A1s
