
Moja ya taarifa kutoka Nairobi Kenya
ambayo ilisikitisha sana ni tukio la watoto watatu kuuawa na mwanamke
mmoja ambaye baada ya kuwaua halafu akawapasua na kula mioyo ya watoto
hao.
Mwanamke huyo Catherine Muthoni alimuua mtoto wake mmoja mwenye umri wa miaka kumi na baadaye kuuwa watoto hao wawili wa jirani. 


Mwanamke huyo anashikiliwa na Polisi
kesi yake ikiendelea ambapo Mahakama iliagiza afanyiwe uchunguzi kama
ana matatizo ya akili huku upelelezi wa kesi yake ukiendelea.
Hapa iko taarifa hiyo kwenye video kutoka K24 TV Kenya..https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=6qTGcmq0R5E