Arsenal
imeanza mikakati yake ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa ligi
kuu ya England na safari hii imeanza mbinu zake za kutaka kunasa saini
ya kiungo wa Real Madrid.
Arsenal ambayo imetinga hatua ya fainali
michuano ya FA itakutana na Aston Villa katika uwanja wa Wimbley,
London pia imepanga kuwasajili nyota wengine msimu ujao.
Millard Ayo.