
Sio tukio la kawaida kukutana na mtu
kavaa gauni la harusi kwenye mazishi..Kenya kuna hii stori kutoka Kaunti ya Vihiga, unaambiwa
mwanamke aliyefiwa na mume wake akalazimishwa kuvaa gauni ambalo anavaa
bibi harusi wakati wa kufunga ndoa, alafu safari ya kwenda kwenye
mazishi ikaanza.
Mary Akatsa ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem Church of Christ
alikuwa akiongoza kila kitu mpaka mazishi yalipoisha, ukicheki kwenye
hii video huyo mama anaonekana mkali hivi kama unaenda tofauti na
maagizo yake.. wengine wanapigwa mpaka vibao.
ANGALIA VIDEO HIYO HAPA>> https://youtu.be/qAZswNcs4vE
Mazishi yalikuwa kama sherehe tu, kama
ukiiona hii video unaweza kuhisi labda watu walikuwa kwenye harusi au
sherehe nyingine ya kawaida.
Related Items