Jamii nyingi kila moja imekua na imani
tofauti juu ya jambo fulani lakini baadhi ya imani hizo hufanana
kutokana na tukio husika.
Hii tunaweza kuita moja ya tukio la unyanyasaji kwa mtoto, baada ya mama mmoja Rakesh Kumar, ambaye ni mganga wa kienyeji huko India kumlazimisha mtoto wa siku mbili kutembea akiamini atapona.
Pamoja na watu wengi kushuhudia tukio
hilo hakuna aliyetokea kumsadia mtoto huyo ambaye alikuwa akilia sana
baada ya kulazimishwa kutembea.
Baada ya tukio hilo mama mzazi pamoja na
mganga huyo walifunguliwa mashtaka huku mtoto huyo akipelekwa hospitali
kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
angalia video hapa>>>>https://youtu.be/mawvFgA8q_A
