
Burundi kwa sasa ndiyo nchi inayozungumzia sana kutokana na vita ya kisiasa inayoendelea tangu Rais wake Pierre Nkurunziza atangaze uamuzi wake wa kutaka kuwania Urais kwa awamu ya tatu mfululizo.

Jaribio la kutaka kumpindua madarakani
wakati akiwa Tanzania kwenye mkutano wa usuluhishi pamoja na Marais
wengine wanaounga Jumuiya ya Afrika Mashariki halikufanikiwa na sasa
uamuzi uliofikiwa ni kuahirishwa kwa uchaguzi wa Wabunge.

Kingine kilichonifikia leo ni kwamba
pamoja na machafuko yanayoendelea nchini humo Rais huyo kaonekana yuko
zake uwanjani na wenzake akicheza mpira.

Mtu mmoja amepigwa risasi ya mgongoni na askari wanaolinda usalama katika mji wa Bujumbura wakatiwakiandamana
Source:Millard Ayo
Related Items
