Baadhi ya wananchi wakimshangilia Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa wakati akihutubia mkutano wa kampeni wilayani Longido mkoani Arusha leo.
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya mkoani Arusha leo.
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akimnadi Mgombea ubunge wa jimbo la Longido,Onesmo Ole Nangole katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya mkoani Arusha leo.